AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: ALWAYS FOCUS ON THE NEXT STEP..
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
        katika maisha kila siku angalia sehemu inayo fuata, usiridhike na hali unayo nayo sasa. ukihisi kuridhika ujue  YOU ARE N...

 

 Image result for success image

 

 


katika maisha kila siku angalia sehemu inayo fuata, usiridhike na hali unayo nayo sasa. ukihisi kuridhika ujue  YOU ARE NOT THINKING BIG ENOUGH,ukiona unafika mahali unaona umeridhika na hali uliyo nayo ujue haufikiri kwa ukubwa unao faa uwe na ndoto nfogo katika maisha yako, kwa kila hali uliyonayo jaribu kuangalia hatua nyingine unayofuata.

ukiridhika na hali uliyonayo, kuna wakati mambo yanaweza kubadilika na kile chanzo cha pesa ulichokuwa unakitegemea hakipo tena, ni lazima utapanic, na ukisha panic utakuwa huna uwezo wa kukaa na kufikiria kwa ufasaha utachukuwa maamuzi ambayo siyo sahihi sana ambayo yatapelekea kushindwa vibaya.


kama unafanya biashara moja, jaribu kutengeneza aina nyingine ya biashara ambayo inatakuwa inasaidia katika matumizi yako ya kila siku, usikubali kuridhika na chanzo kimoja cha mapato. ukiridhika na chanzo kimoja cha mapato lazima utakuja kuyumba kiuchumi katika sehemu flani flani za maisha yako.


ili uweze kumudu kasi ya mwendo wa maisha na ukuai wa kipato chako ni lazima uwe na biashara nyingine au zaidi ya moja kwa maana ya kwamba uwezo wako wa kuzungusha fedha unaongezeka na kadri fedha yako inavyo zidi kuwa na mzunguko ndio kadri inavyo zidi kuongezeka.

jiulize kwa mfano leo hii nafukuzwa kazi, ntaishije nini ntakacho fanya ili kuendeleza maisha ya kiwango kilele au zaidi. ukikosa jibu la swalii hili ujue unatakiwa kufanya maamuzi ya kuanzisha kitu kitakacho kutengenezea faida zaidi.


Nanjia pekee ya kupata uhuru wa kifedha, ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato. uhuru wa kifedha namaanisha kuwa na uwezo wa kumiliki, kununua,na kuishi kwa mtindo wa maisha unayo yataka kwa fedha zinazotoka kwenye mizunguka yako. 

 

anza sasa kuona mabadiliko...........

Image result for success image


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top