AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: FAIDA ZA KUAMKA MAPEMA.
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
        leo katika nguzo ya asubuhi, naomba tuangazie umuhimu wa kuamka asubuhi na mapema.

 

 

 

 Image result for MORNING IMAGE

leo katika nguzo ya asubuhi, naomba tuangazie umuhimu wa kuamka asubuhi na mapema. kuchelewa kwao kamka kila siku kunakufanya uwe mvivu wa kufikiri, huwei ugaligundua hili tatizo mapema kwasababu ni kitu kinacho anza kutokea taratibu. ila madhara yake au matokeo yake unaweza ukayaona kwenye utendaji wako, utaona namna utendaji wako utakavyo shuka.

lakini pia kuchelewa kuamka kunapelekea kushindwa kutimiza majukumu ya siku nzima kikamilifu. mtu ukisha kuwa na hali flani ya uvivu katika mwili wako unajikuta unakuwa mziti kufanya mambo mengine muhimu katika ule muda wa siku nzima.

 kuchelewa kuamka hasa kwa wafanyakazi ni chanzo kikubwa cha msongo wa mawazo. msongo wa mawazo unatokana na kuto kujiandaa vya kutosha unapoingia kazini kama hukua na muda wa kujiandaa vya kutosha basi lazima uwe na uhakika kwamba msongo wa mawazo takusumbua na utakupelekea kushindwa ku perform.

anza sasa kuwa na tabia ya kuamka mapema, amka kabla jua halijachomoza. kwa kufanya hivyo itakupa faida kubwa sana, siri ya utajiri imefichwa kwenye namna unavyo tumia muda wako. lakini pia uimara wa akili yako umefichwa kwenye uwezo wako wa kuamka asubuhi na mapema.

 

 Image result for MORNING IMAGE

  

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top