AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: PESA NDIYO KIPIMO CHA MAFANIKIO
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
katika kutafuta mafanikio, kuna vitu vingi vinahusika katika kupima mafanikio ya mtu lakini pesa ndiyo imekuwa kipimo moja wapo cha kiw...
Image result for business image




katika kutafuta mafanikio, kuna vitu vingi vinahusika katika kupima mafanikio ya mtu lakini pesa ndiyo imekuwa kipimo moja wapo cha kiwango chako cha mafanikio. hii ni kutokana na ukweli kwamba unaweza ukawa umefanikiwa kwenye mambo mengine lakini kama huna pesa watu watakuona we  masikini tu.

katika kupata mafanikio kifedha ni lazima uyatafute mafanikio hayo kwa njia moja tu ya kufungua vitega uchumi. ili uweze kupata uhuru wa kifedha ni lazima utengeneze miundombinu itakayo kusaidia kukuletea ama kukusanyia pesa.

njia ya kwanza kabisa ni lazima uwe na vitega uhumi vingi, kwa watsani billionea anakuwa na vyanzo zaidi ya saba vinavyo muingizia kipato. kumbe siri kubwa ya mafanikio ya kifedha ipo kwenye kufungua miradi na biashara nyingi ambazo zitaweza kukuletea fedha.

changamoto kubwa ni kwamba watu wengi wanaogopa kufanya biashara kutokana na hofu ya kushindwa au kupata hasara, ukifanikiwa kuishinda hofu ujue huwezi kufanikiwa katika biashara. ili uweze kufanikiwa katika biashara inabidi uwe jasiri na uwe na mtazamo chanya ili usiogope changamoto zake.

biashara inahitaji watu wanaojiamini kikukweli, biashara haitaji mtu muoga, wala mwenye wasiwasi, ili ufanikiwe katika nbiashara huna budi kuchukua hatua na kuanza kufanya au kutimiza lengo lako kibiasahra.

hofu na mashaka vinaondolewa kwa kuwa na maarifa sahihi, tafuta maarifa ya kijasiliamali, tafuta maarifa ya kibiashara ilio uweze kufanikiwa.
Image result for business image
22 Jul 2016

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top