mambo ambayo ni muhimu sana kufanya mara tu uamka asubuhi, kuna kanuni mbali mbali kimsingi fanya yafuatayo ni mambo ya msingi.kuyafanya asubuhi.
1. FANYA SALA YA SHUKRANI
mara tu uamkapo asubuhi hakikisha unafanya sala, sala ya shukrani ni muhimu sana kwasababu, hakuna kitu cha msingi unachoweza kufanya katika maisha yako kama kushukuru kwa nafasi uliyo pewa kuiona siku mpya. shukuru kwa kila nafasi unayoipata katika maisha yako. shukrani ni kitu kikubwa sana ambacho unaweza kukifanya mara tu uamkapo asubuhi.
2.SOMA MALENGO YAKO..
Soma malengo yako mara kwa mara, jenga utamaduni wa kusoma mara kwa mara malengo yako ili kuweza kujikumbusha na kujua unatakiwa kufanyanini. kuna faida kubwa katika akili yako kwa kufanikisha yale unayo yataka. kumbuka kusoma mara kwa mara malengo yako.
3. FANYA MAZOEZI YA MWILI
Post a Comment