AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: fahamu mambo 4 yanayo kukwamisha kufikia ndoto yako
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
  Kwanini unakosa kujiamini, kuwakilisha kila kitu unachokijua, vijana wengi tumeingia na utamaduni wa kushabikia mambo ya watu ...




 Image result for COMFIDENCE IMAGE







Kwanini unakosa kujiamini, kuwakilisha kila kitu unachokijua, vijana wengi tumeingia na utamaduni wa kushabikia mambo ya watu wengine na kuyaona bora kuliko vipaji vyetu, hii ni changamoto kubwa sanaa kwa kizazi cha sasa. sifuatazo ni sababu zinazo zinazo pelekea kushindwa kuwasilisha wazo lako au kujiamini.


1. AIBU.
vijana wengi wa kileo aibu imekuwa ikiwa ponza, wanataka wapate vitu bila kupitia mchujo wowote, aibu inatufanya tushindwe kujitokeza kuonyesha uwezo walio nao kwa ufasaha. aibu na hofu vikichanganyika vinaua kipaji cha mtu kabisa.

2. KUKOSA KUJIAMINI 
Vijana wengi tunashindwa kujiamini katika kuwakilisha ndoto zetu, au mawazo yetu kazi zetu au vitu tunavyo vifanya tunavigeuza kwa siri kwasabau ya aibu, ukikosa kujiamini ujue uwezekano wako kufanikiwa ni mdogo sana, anza sasa kutafuta ujasiliri wako wa ndani kwa kujijua wewe ni nani na unataka kufanya nini.

3. MAANDALIZI HABA..
ukishindwa kujiandaa basi ujue umejiandaa kufeli, ukikosa maandalizi ujue huwezi kujionyesha kwa ubora unaofaa, jiandae hakikisha unafanya kila kitu ili uweze kuwa bora kwenye eneo lako. ubora wako ndiyo utakao kutofautisha na kukufanikisha.

4. ANZA KUONYESHA VILE ULIVYO NAVYO..
Anza sasa kuonyesha uwezo wako, usifiche kipaji chako fanya kila njia watu wajue wewe ni nani na unataka kufanya nini, onyesha yale uliyo nayo kwasababu hiyo ndiyo njia pekee ya kukufanikisha kwa kukutanisha na watu watakao kusaidia kufikia ndoto zako


Image result for COMFIDENCE IMAGE



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top