AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KILIMO
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
Changamoto za kilimo 1. vijana wengi wamekidharau 2. mazingira yake ni magumu ya ufanyaji kazi kwa maana ya vitendea kazi. 3.ukosefu...

Changamoto za kilimo
1. vijana wengi wamekidharau
2. mazingira yake ni magumu ya ufanyaji kazi kwa maana ya vitendea kazi.
3.ukosefu wa mitaji
4.miundo mbinu mibovu
5. mabadiliko ya hali ya hewa
6. mchango mdogo wa serikali katika secta ya kilimo na mifuko
 nk.............................

kuna sababu zaidi ya billion moja vijana amabzo wanaweza wakazitumia kama kisingizo cha wao kuto kutumia fursa ya kilimo, hizo hapo juu ni baadhi ya sababu ambazo vijana wanazo tena vijana wasomi kabisa ambao tungetegemea waje au wafanye mapinduzi katika kilimo.

nataka tu ni wakumbushe vijana wenzangu wakati ndiyo huu usingoje kesho, kwasababu mambo yote hayo hapo juu hayaji  kuisha utasubiri kila siku na muda utazidi kwenda na hali itabaki kuwa vile vile.

usitake kuanza jambo ikiwa mambo yote yako shwari au kila kitu kimetimia hakuna muda kama huo katika kipindi hiki cha ushindani, anza sasa hizo sababu za hapo juu ni kujitetea tu ila ukweli ni kwamba kila kitu kinawezekana ni swala la kujitoa na kuchukua hatua. kuelekea mafanikio tunayo yataka.

na kwasasa kuna fursa kubwa sana katika kilimo ni wewe tu kuamua kuitumia. usikatishe tamaa mwenye chukua hatua.
11 Mar 2016

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top