AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: KILIMO CHA PILIPILI MTAMA
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
KILIMO CHA PILIPILI MTAMA Utangulizi Jina la kitalaam ni Piper nigram na kwa kiingereza ni black pepper . Zao hili asili...
KILIMO CHA PILIPILI MTAMA
Utangulizi
Jina la kitalaam ni
Piper nigram
na kwa
kiingereza ni
black pepper
. Zao hili
asili yake ni Mashar
iki ya Mbali, na
linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga
na Zanzibar.
Matumizi
Pilipili nyeusi na nyeupe zote hutumika
kwa mapishi ya nyama, samaki na kwa
mapishi mengine mbalimbali. Nchi za
magharibi zina matumizi makubwa ya
viungo hivi. Aidha pilipili mtama nyeusi
ndiyo huzalishwa zaidi hapa nchini.
Uzalishaji
Hali ya hewa na udongo
Viungo vingi humea katika maeneo
yenye joto la wastani kati ya nyuzi joto
24-26 na huzalishwa maeneo ya
mwambao.
Udongo wenye rutuba na unaopitisha
maji na wenye uchachu wa kiasi cha pH
6.5. Mahitaji ya mvua ni mililita 1500-
2000 kwa mwaka.
Uchaguzi wa mbegu
Uchaguzi huzingatia mambo yafuatayo:-
a) Urefu wa pingili na ukubwa wa
majani
b) Ufupi wa pingili unaoambatana na
majani madogo.
Tofauti iko hadi kwenye umbile la
matunda.
Majani ya mche mama sehemu
kinapokatwa kipando huondolewa wiki
mbili kabla ya kukata. Vipando vyenye
macho (
nodes
) 3-4 humika. Macho
mawili huzikwa kwenye udongo na
kipando kiwekewe kivuli. Inashauriwa
kuweka mbolea ya samadi wakati wa
kupanda.
Nafasi ya upandaji
Nafasi ya kupanda ni mita 2-3 kati ya
mmea na mmea endapo miche
imepandwa na miti inayotakiwa
kupogolewa mara kwa mara.
Mahitaji ya mbolea
Matumizi ya mbolea hapa Tanzania si
makubwa katika kilimo cha viungo.
Ingawa kiasi cha kilo
0.4 cha Urea, kilo
0.3 cha Superphosphate na kilo 0.3 cha
Potash ya Muriate kinawe
Soko la pilipili matama linapatikana
ndani ya nchi na nje pia. Bei ya ndani ni
kati ya Sh1,000-1,500. Zao hili huuzwa
katika nchi za Uganda, Kenya,
Uingereza, Ujerumani, Mashariki ya
Kati, n.k. Bei ya Nje ni wastani wa dola
za kimarekani 1,985 kwa tani.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top