jiulize katika akili yako unajiona wapi, unajiona katika viwango gani, ukijiona kwamba katika miaka yako mitano ijayo huoni tofauti ya kimaisha zaidi ya kuwa na hofu na wakati wako ujao ujue hapo kuna changamoto ya namna ambavyo unafikiri.
jione ukiwa mshindi, jione ukiwa umekamilisha malengo makubwa katika amisha yako, tengeneza picha unayoitaka katika maisha yako na anza kuifanyia kazi.
kumbuka wajibu wa kutengeneza maisha yako, hakuna anaeweza kufanya ndoto yako itimie.
Post a Comment