ni lazima tujue namna ya kupata kiasi cha fedha tunachokitaka katika maisha yetu ni lazima tujue mbinu zitakazo tupa pesa katika maisha yetu.
kimsingi hakuna maisha yenye maendeleo bila pesa, hvyo basi hatuna budi kujua jinsi au namna sahihi ya kupata kipato tena kipato kikubwa katika maisha yetu.
kwanza kabisa inabidi tujue, FEDHA ni nini, fedha siyo makaratasi ila ni tahamani ya kile kitu unacho kifanya , ile tamani yako ndiyo inawakilishwa na fedha.
kwa tafsiri hii utagundua kwamba siri ya kwanza ya kupata fedha ni kuongeza thamani yako. ongeza thamanni kwenye kile unachokifanyandipo utapata fedha zaidi.
kwa kadri unavyokuwa bora sanaa ndivyo unavyo zidi kupata fedha zaidi.
lakini pia lazima uwe na uwezo wa kutengeneza vitega uchumi, kwenye hivyo vitega uchumi vyako ndiyo uweze kuongeza ubora ili uweze kuongeza kipato chako.
kujua matumizi ya fedha, ili uweze kufikia mafanikio makubwa lazia uweze kutengeneza bajeti ya kipato chako ili uweze kuwa na akiba itakayo kusaidia kuwekeza kwenye biashara nyingine.
kutafuta taarifa za kifedha, ukitaka kujua namna ya kufanikiwa ni lazima usome sana kuhusu maswala ya kifedha soma vitabu angalia video mbalimbali zinahusu biashara.
itaendelea
Post a Comment