ukikosa kuwa na malengo unakosa kuwa na muelekeo wa maisha yako mwenyewe, jitahidi kufahamu nini unataka na kwanini lakini pia kwa wakati gani.
huwezi kukipata kitu usicho kihitaji na huwezi kufika mahali ambapo hujapanga kufika, hivyo basi ni lazima ujue na utambue muelekeo wa maisha yako kwa kufahamu unataka kufika wapi na kukamilisha nini.
usitake kila kitu kitokee kama jali kwenye maisha yako, hakikisha mambo yote yanayo jitokeza kwenye maisha yako ni matokeo ya jitihada zako, na mataokeo ya mipango yako.
weka target yako kwamba unataka kufika wapi katika amisha yako, weka viwango vyako unavyo taka kuvifikia, kwa kufanya hivyo ni lazima utafaniikiwa katika amisha yako.
lakini pia malengo mazuri ni yale yaliyo andikwa, andika malengo yako na uwe na tabia ya kuyapia na kurudia mara kwa mara, ili kufanya akili yako ianze kuyafikiria na kukupa njia za kuyafanikisha.
Post a Comment