AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: JITAMBUE WEWE
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
hakuna mtu anae weza kukuzuia mafanikio yako, hakuna mtu ambae anaweza akakufanya ushindwe, hakuna mtu bora zaidi yako katika kupa...








hakuna mtu anae weza kukuzuia mafanikio yako, hakuna mtu ambae anaweza akakufanya ushindwe, hakuna mtu bora zaidi yako katika kupanga mipango.

wewe ndiyo kiini cha mfanikio yako, wewe ndiyo mtekelezaji wa mipango yako.

hakikisha unakuwa wewe .

kamwe usiishi kwa kufuraisha wengine au kwa kutaka kuwa kama wengine.

usiwe mwepesi kurudi nyuma pale mapambano yanapokuwa makali.

fedha unayoitaka imejificha kwenye changamoto na matatizo unayo yaogopa.

yaendee yafanyie utafiti kuwa sehemu ya utatuzi wa tatizo utafanikiwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top