AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: KAMA UMEJIUA WEWE NI MJINGA, BASI UJUE SIYO MJINGA TENA
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
  usiogope kujua ujinga wako, kwasababu ukisha ujua utajua na utatambua kwamba wewe siyo mjinga tena. japo kusikia nen...




 Image result for executive image

















usiogope kujua ujinga wako, kwasababu ukisha ujua utajua na utatambua kwamba wewe siyo mjinga tena. japo kusikia neno ujinga unachukia lakini ni ukweli ambao upo kila mtu ana ujinga wake, na mwanzo wa kuutoa huo ujinga ni kujua kwamba wewe ni mjinga.

siku zote huwezi kutoka mahali kama hujui kwanini umekwama, sasa tafuta sababu za kwanini upo mahali ulipo, utajua sababu za kwanini upo hapo, na baada ya kujua hivyo hutaweza kuwa kama ulivyo kuwa mwanzo.

ukipenda unachokifanya huwezi kuwa kama ulivyokuwa.
hakikisha unajua unacho kipenda na unakifanyia kazi, usikae bila kujua uwezo wako na uzaifu wako, kwani huko ndiko kufanikiwa kwako.
21 Apr 2017

About Author

Advertisement

Next
This is the most recent post.
Previous
JITAMBUE WEWE

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top