AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: HESHIMU UNACHO FANYA KWA UBUNIFU
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
  KILA UNACHO FANYA KWENYE KAZI YAKO, HAKIKISHA UNAKIFANYA KWA UBUNIFU. kukosekana kwa ubunifu na kufanya kwa kujituma bila kukata tamaa ...

 Image result for creativity image

KILA UNACHO FANYA KWENYE KAZI YAKO, HAKIKISHA UNAKIFANYA KWA UBUNIFU. kukosekana kwa ubunifu na kufanya kwa kujituma bila kukata tamaa ni matokeo ya kufanikiwa katika yale tunayo yafanya. huwezi kufanikiwa ikiwa hujaingiza ubunifu kulingana na ushindani  tulionao sasa hivi ukikosa ubunifu basi uwe na uhakika utashindwa kufikia ndoto zako.

hakuna alefanikiwa kwa kiwango kikubwa bila ya kuwa na kiwango cha ubunifu ndani yake, hatuoni matokeo makubwa kwasababu sisi siyo wabunifu na tunafanya kama washindani wetu wanavyo fanya kila siku.
 sifuataza ni njia zitakazo kusaidia kukuza ubunifufu wako.

1. anza kuchunguza washindani wako wanafanya nini, tambua uwezo wao na udhaifu wao tumia hizo kama njia za kuhakikisha unawashinda ili uweze kupenya katika soko na kupata faida na biashara yako kukua.

2. Fanya biashara unayoipenda, ukifanya kitu unachokipenda ikua rahisi kwako kuwa mbunifu,kwasabau utakuwa unafanya kwa kujituma lakini pia utakuwa na uwezo wa kuleta au kuwaslisha bidhaa zako kwa ubora zaidi.

kinacho leta ukuaji wa katika biashaa ni wateja kuongezeka na wateja kuongezeka ni matokeo ya ubunifu ambao hupelekea ubora wa bidhaa kwa namna moja ama nyingine.

fanya kwa ubunifu utafanikiwa.....

Image result for creativity image

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top