AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: IPO SIKU NTATOKA
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
  Katika kutafuta mafanikio katika maisha swala la unaiayambia nini nafsi yako ni muhimu sanaa kwasababu kile unacho jiambia wewe...


 Image result for SUCCESS IMAGE







Katika kutafuta mafanikio katika maisha swala la unaiayambia nini nafsi yako ni muhimu sanaa kwasababu kile unacho jiambia wewe mwenye we kwenye nafsi yako ndicho kinacho kutengeneza wewe kwa maana ya kwamba kina nafasi kubwa ya kukufanikisha au kushindwa katika maisha yako.


katika akili yako unaona fursa au matatizo ukiona unaona zaidi matatizo yaliyo kuzunguka kuliko fursa uwe na uhakika mafanikio kwako ni ndoto, kwasababu maskini inabidi awe na akili kama ya tajiri, kwasababau tajiri haoni kuishiwa au kufa kwa utajiri wake kila siku anapambana kutafuta nafasi za kufanya mali zake zikue na yeye kuwa tajiri zaidi. ila akili ya maskini inaona magonjwa kufulia na matatizo yasiyo kwisha.


unaiambia nini akili yako kuhusu maisha yako, unaoaje hali uliyo nayo, unaitizama kama tatizo na wewe hutoweza kufanikiwa kamwe au unaona bado unafursa ya kufanikiwa tena. usiwe mpumbavu tafuta namna ya kujua watu wengine wanafikiria vipi na wanaziambia nini nafsi zao mpaka wanafikia kiwango cha mafanikio makubwa, acha kujaza mawazo ya kimaskini uliyo nayo kwasababu haya kusaidii kutoka hapo ila kukwamisha zaidi.


jiambie wewe mwenye ipo siku ntatoka tu no matter whats, huku ukiendelea kupambana na kutafuta fursa za kupata utajiri hangaika kama  mbwa mwenye kiu huku ukijua ipo siku utatoka tu, jipe moyo kwamba ipo siku ntatoka tu haijalishi sina pesa sina kazi, sina connection, sina marafiki wa kunisaidia nk ila amini ipo siku utatoka jiamini kwamba ipo siku utafikia kiwango cha maisha unacho kitaka jipe ,moyo ona mafanikio na utajiri ni haki yako, usitake kuwa na uhakika itakuaje ila anza na kile ulicho nacho kama ni wazo lifNYIE KAZI HUKU UKIPAMBANA NA KUAMINI KWAMBA IPO SIKU UTATOKA TU.


unachofikiria mara nyingi kina mchango mkubwa sanaa kwenye maisha yako, imani na maneno unayojisemesha ukiwa pke yako mawazo yanayo pita kwenye akili yako ukiwa peke yako picha unazoziona kwenye akili yako ukiwa peke yako ndizo zinazo kutengeneza kuwa wewe, ukiwaza sana magonjwa uwe na uhakika magonjwa hayata ytoka nyumbani mwako, ukiwaza sanaa umaskini uwe na uhakika umasikini hautatoka nyumbani mwako. nk


acha kuanzia leo kujiona kama huna nafasi ya kufanikiwa acha kuanzia leo kuona wengine wamefanikiwa zaidi yako kwa mtizamo hasi ila wafuate na waulize wanafanyaje mpaka kufikia hapo, usijikwamishe wewe mwenyewe kupitia akili yako na mawazo yako hakikisha unakuwa na akili pana ya kuona mambo katika uchanya siyo hasi tu, anza kujiona umefanikiwa tambua ipo siku utatoka tu no matter  what  always think that there is portion of success wating for you,


sina lugha nyingne zaidi ya kukuambia amini kwamba ipo siku utatoka haijalishi uko wapi na unafanya nini, unahali gani sasa angalia mbele jua ushindi upo na matter what mafanikio yapo, utapiga hela nyingi sana siku zijazo utaishi maisha ya aina unayo itaka jipe moyo fedha ipo haijaisha ni wewe tu kukaa nayo sawa jinsi ya kuichuma fanya mishe zote, pigana na harakati zote mpaka tuishi maisha mazuri yenye uhuru siyo ya kuogopa mabosi zetu kuwafanya miungu kwa vijimshahara kiduchu vya hela ya pipi.


TUSEME KWA PAMOJA NA KWA SAUTI KUUUU


IPO SIKUUUU TUTATOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

 Image result for SUCCESS IMAGE

 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top