AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: kuwa makini na unachokifanya kwenye mitandao ya kijamii
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
NGUZO YA LEO 10/03/2016 EPUKA MAKUNDI HAYA               March 10, 2016 Shemeji Melayeki EPUKA MAKUNDI HAY...

NGUZO YA LEO 10/03/2016 EPUKA MAKUNDI HAYA

EPUKA MAKUNDI HAYA
Watu wasiofanya chochote kwenye mitandao ambao wamekaza macho kwenye computer na Simu zao wakisubiri nani Leo atachemka aanze ku-critisize (hanging hands waiting who to criticize) bora wangekuwa wanatafuta jambo la kuwasaidia lakini biashara yao hiyo haipati faida kwani wengi wao hawana lengo kabisa la kusaidika…
Nakusihi usiwe kati yako….
Lakini kuna hawa wengine wanasubiri mtu achemke uraiani halafu anaanza kumpondea kwenye mitandao ya kijamii (cha kushangaza watu wenyewe hawapo huko) lakini watu hao pengine wamesema mambo mazuri ila hawana muda na hayo… (At least tell us what went right)..
Nakusihi usiwe kati yako….
La tatu ni pale Mtu akifinywa atakumbuka kuna Facebook au insta akisikia kachefuliwa anatapikia mtandaoni… RAFIKI YANGU aliwahi kusema “Chineke, solve your problems. Don’t Facebook them”. Status yako inasoma Leo uko Low Jana ulikuwa high.. Watu wanakuchora tuuu.. Mwaka juzi umeandika ” all men are dogs”.. Mwaka huu umeandika “You’re the greatest miracles I have ever found”. Dogs are not miracles.. Umesahau..
Emotions Are timed promotions.. Hazidumu..
Usiwe kama hao…
Shilingi ina pande mbili..
Usisahau upande wa pili..
 Image result for social network image

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top