AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: TAFUTA MABADILIKO KATIKA MAISHA YAKO..
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
  Hakuna kitu kikubwa katika maisha yako kama kutafuta mabadiliko ya kweli, kama kuleta tofauti na kuleta jambo jipya kwenye maisha ya...

 Image result for future change image




Hakuna kitu kikubwa katika maisha yako kama kutafuta mabadiliko ya kweli, kama kuleta tofauti na kuleta jambo jipya kwenye maisha yako na watu wengine wanao kuzunguka, hakuna anaeza kuzuia mabadiliko yako fanya kila kinachowezekana kuleta mabadiliko.

daima aina ya mabadiliko tunayo yatakae yanakuwa ndani ya uwezo wetu, na sisi ndiyo wenye uwezo wa kutumia fursa na kutengeneza aina ya maisha tunayo yataka.

hivyo huna budi kujipa moyo na kuona upo uwezekano wa kufikia ndoto zako katika maisha yako, hakuna linalo shindikana ukiamua kufanya kwa moyo wote na kwa kujituma huku ukimaanisha unacho kifanya.

Image result for future change image

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top