AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: FANYA KILE UNACHOKIPENDA
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
  Siri ya mafanikio ya mjasiliamali yoyote ni kufanya kile unachokipenda, siri ya mafanikio imefichwa kwenye kufanya kile unachokipe...

 Image result for love for success image






Siri ya mafanikio ya mjasiliamali yoyote ni kufanya kile unachokipenda, siri ya mafanikio imefichwa kwenye kufanya kile unachokipenda. ili uweze kujituma na kufanya mambo kwa kujitoa zaidi ni lazima ujue namna ya kutafuta kile unacho kipenda.

mara nyingi kufanya kile unacho kipenda huwa kinaitwa kipaji, kipaji ndio kinaleta utulivu ya nafsi hata kama unakutana na vipangamizi.

lazima kila mtu kama unatenga muda wa kufikiria kuhusu maihs yako utajikuta kuna jambo au aina flani ya biashara ambayo ungependa kuifanya zaidi, jaribu kuusikiliza moyo wako na kufanya kile unacho kiamini.

watu wengi huwa hatuwezi kujiongeza kimaisha kwa kufanya jambo jipya hata kama tunaamini moyo wetu unapenda kufanya, kwa hofu mbali mbali tunazo zijua wenyewe.

hivyo tenga muda wa kuisikiliza moyo wako unataka nini ili uweze kufanikiwa

Image result for love for success image

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top