AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: UNACHO KIFANYA SASA KINA ATHIRI MAISHA YAKO YA BAADAE.
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
  Kwa wataalamu wa lugha wanaelewa kwamba athari huwa ni katika pande mbili moja ya athari nzuri, nyingine ni athari mbaya. unacho kifa...

 Image result for positive future image



Kwa wataalamu wa lugha wanaelewa kwamba athari huwa ni katika pande mbili moja ya athari nzuri, nyingine ni athari mbaya. unacho kifanya sasa kinaleta muendelezo wa matukio ya kesho, kusho kutwa, nk, kwa lugha nyingine tunaamini mafanikio yanatengenezwa siku hadi siku siyo kitu kinachokuja mara moja, mafanikio ni mchakato.

mipango yako ya leo, ndiyo yanaleta utekelezaji wa kesho, kwa maana ya kwamba unachokiwaza leo ndicho unachotenda kesho. sasa ili kujenga urahisi wa kwako kufaikiwa ni kuanza leo na kile ambacho unacho ambayo ni mawazo chanya.

fikra chanya naweza nikasema ndiyo mtaji wa masikini, kinacho mumumiza mtu maskini ni wazo yake hasi ambayo yanafanya kudumaa kwa muda mrefu kwa fikra na kuleta janga au baala la matatizo vikiambatana na ukata wa kifedha.

mtaji wa maskini ni fikra zake, hakuna jambo lingine lazima uanze kuamini kuanzia zama tulizopo sasa kwamba mtaji wa maskini siyo nguvu zake tena ila ni fikra zake, nikimaanisha ni kira chanya.
Image result for positive future image

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top