AMKA JITAMBUE

 

Robison Robison Author
Title: MTAJI WA MASKINI NI AKILI ZAKE
Author: Robison
Rating 5 of 5 Des:
  sasa hivi inabidi tuache kufanya vitu kwa kutumia nguvu tuanze kutumia akili, nguvu zimetufikisha hapa tulipo ili tuendelee mbele n...

 Image result for brain image





sasa hivi inabidi tuache kufanya vitu kwa kutumia nguvu tuanze kutumia akili, nguvu zimetufikisha hapa tulipo ili tuendelee mbele ni lazima tukubali kuacha kutumia nguvu nyingi tuhamie kwenye akili. hatuwezi kutoka hapa kwa mbinu ile ile iliyo tufikisha hapa tulipo sasa.

badili akili yako anza kutumia akili yako, mtaji wako wa maskini wa kwanza kabisa ni akili yake na siyo nguvu zake, zama za kutumia nguvu zimesha kwisha mpenzi msomaji wa makala hii, hizi zama ni za kutumia akili tupo kwenye karne ya taarifa, infomation age zama zimebadilika. hatuwezi kuendelea kuwinda kwa kutumia mbinu za zamani.

akili sasa ni lazima ianze kutumika tunaze kutafuta fedha kwa kupitia akii zetu, nguvu hizi hazitajiki sanaa. kwenye zama hizi. jengaa akili yako, anza kuipa akili yako vitu muhimu inavyo vihitaji ili iweze kukua.

anza kuipa akili yako matunzo yenye tija ili yaweze kujenga maisha yako yaliyo bora, sasa hivi watu wenye mawazo makubwa na mazuri ya kijasiliamali ndiyo wanaofanikiwa. panga akili yako kwa mapambano pumzisha mwili sasa.

sasa mtaji wa maskini siyo tena nguvu zake bali ni akili zake. 

 Image result for brain image
10 May 2016

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top