watu wengi ni wavivu wa kujisomea kabisa, hawataki kuendeleza mawazo yao kwa nia ya kujisomea, watu hawasomi kabisa,na hawana habari na vitabu, eti hivyo vinafanywa na wanafunzi.
ukitaka kufanikiwa kuwa mwenye kujifunza kila siku,kila siku kuwa mwanafunzi hakuna ambae amekwisha wai kufanikiwa kwa kuacha kuingiza taarifa mpya naa sahihi katika akili yake.
hapa nataka niongelee kujiongeza kupitia njia ya kusoma, kama huwezi kutenge muda wa kujisomea ujue unafanya kazi ya kudumaza ubongo wako.
chakula cha ubongo ni maarifa, na maarifa yanapatikana kwa kujisomea soma kila siku hakuna atakaye weza kujifunza akabaki kuwa kama alivyo kuwa.
maandishi yanauwezo wa kumfanikisha na kumtajirisha mtu.
soma kila siku kuhusu biashara, soma kuhusu afya, soma kuhusu imani, soma kuhusu uwekezaji, jifunze stadi mbali mbali za kazi.
Post a Comment