kwa kadri unavyo taka kuuondoa umasikini au changamoto za kifedha zinazo kukablli, kwa kadri unavyo tatua changamoto zako ndivyo unavyozidi kujetengenezea mazingira ya kufanikiwa.
kwa kadri unavyoona changamoto zako ndiyo mlango wa kufanikiwa ndivyo unavyozidi kufanikiwa, majaribu yako ndiyo mtaji wako.
huwezi kujiita umefanikiwa ikiwa hakuna tatizo ulilolitatua katika jamii yako au katika maisha yako mwenyewe, kiwango cha matatizo unacho tatua ndiyo kipimo cha mafanikio yako.
kama unaona kiwango chako cha fedha ni kidogo, anza sasa kutatua tatizo lako sasa ili uweze kufanikiwa.
Post a Comment